Mikataba ya Geneva na ya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa ilianzishwa baada ya Vita Kuu ya Pili ili kudumisha amani na kuwalinda watu walio katika maeneo ya vita, lakini mikataba hiyo inaonekana ...
Mashambulizi ya Israel yanaendelea huku misaada ya kibinadamu ikianza kuingia Gaza kwa kiwango kidogo Gaza. UN na mashirika ya misaada yanasema kiwango hicho hakitoshi hata kidogo kukidhi mahitaji ya ...
Demokrasia ni moja ya nyenzo inayoweza kuleta ya ustawi ndani ya jamii na ndiyo maana siku ya Demokrasia huadhimishwa kimataifa kila Septemba 15 ya kila mwaka kama njia ya kuhamasisha ustawi wake.
Msikilizaji katika makala maalum ya Habari Rafiki ni kuhusu Goma mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, tuambie uko wapi na hali ikoje mahali uliko baada ...